Recent News and Updates

Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa mara ya kwanza umepokea meli ya kwanza iliyobeba Kontena la Parachichi kutoka Tanzania

Mumbai, Mei 04, 2022 - Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa mara ya kwanza umepokea meli ya kwanza iliyobeba Kontena la Parachichi kutoka Tanzania. Kontena hilo liliwasili katika Bandari ya Jawalar Nehru mjini Mumbai tarehe… Read More

KONGAMANO LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA INDIA, JIJINI CHENNAI TAREHE 11-12 APRILI, 2022

Chennai, Aprili 12, 2022 - Ubalozi wa Tanzania nchini India kwa kushirikiana na Taasisi ya Uchumi na Biashara ya India (Indian Economic Trade Organization) umeratibu na kufanikisha kufanyika kwa kongamano kubwa la biashara… Read More

BALOZI ANISA MBEGA APOKEA UJUMBE WA KIKUNDI CHA NGOMA ZA ASILI CHA NYATI MCHOYA UBALOZINI TAREHE 28 MACHI 2022

New Delhi, Machi 28, 2022- Balozi wa Tanzania nchini India, Mhe. Balozi Anisa Mbega ameupokea Ubalozini Ujumbe wa kikundi cha ngoma za asili cha Nyati Mchoya kutoka katika Kijiji cha Nzali, Chamwino, jijini Dodoma, ambao wamekuja… Read More

VISA

Details for visitors on how to apply for a visa to the United Republic of Tanzania.

Tanzania Citizen Services

Emergency services, passport guidance, and benefits details for Tanzania citizens in India

Business Opportunities

Information on doing business, trade and investments in the Tanzania and in India